title : Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi
kiungo : Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi
Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wakazi wa bonde la mto Msimbazi waliokuwa wakipinga kubomolewa makazi yao, na kuwakamata watu takriban 20 wakihusika kufanya vurugu hizo.
Tukio hilo limetokea Septemba 20, 2017 kwenye bomoabomoa ambayo inatekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, yenye lengo la kuandaa eneo ili kupisha mradi mkubwa wa majitaka katika manispaa hiyo.
Wakazi wa eneo hilo wamelalamikia zoezi hilo na kuiomba serikali kuwaonea huruma kwani hawana mahali pengine kwa kwenda kujisitiri.
Pamoja na hayo pia eneo hilo la Jangwani lilishapigwa marufuku kwa wananchi kujengwa makazi, kwani ni eneo hatarishi kutokana na kuwa kwenye mkondo wa mto Msimbazi ambao nyakati za masika hufurika.
Hivyo makala Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi
yaani makala yote Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mabomu-ya-machozi-yarindima-kuwasambaza.html
0 Response to "Mabomu ya Machozi Yarindima Kuwasambaza Wakazi wa Bonde la Msimbazi"
Post a Comment