DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR
kiungo : DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR

soma pia


DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Bw.Khatib Abdulrahman Khatib Babu mara alipowasili katika ufunguzi wa Jumba la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China, wakati wa sherehe iliyofanyika jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Jumba la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China, wakati wa sherehe rasmi iliyofanyika leo (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Mohamed Salum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe zilizofanyika jana.



Hivyo makala DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR

yaani makala yote DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-shein-afungua-jengo-la-chawl-jumba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR"

Post a Comment