title : Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo.
kiungo : Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo.
Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo.
Wakati Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (chadema) Tundu Lissu leo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mwingine, fedha zilizochangwa na wabunge hatimaye mchana zimeonekana katika akaunti ya hospitali ya Nairobi.
Lissu ambaye tangu Septemba 7 amekuwa akipatiwa matibabu,katika hospitali hii kesho atafanyiwa upasuaji tena na jopo la madaktari kutazama athari zaidi katika mwili wake.
Akizungumza na mwananchi mmoja wa wauguzi wa hospitali ya Nairobi, ambaye ameomba kuhifadhiwa jina, amesema upasuaji unahusu eneo la nyonga.
Hivyo makala Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo.
yaani makala yote Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tundu-lissu-kufanyiwa-upasuaji-mwingine.html
0 Response to "Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo."
Post a Comment