DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI

DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI
kiungo : DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI

soma pia


DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI



NA TIGANYA VINCENT
Madiwani wa Manispaa ya Tabora wametakiwa kuhakikisha kuwa wanaifumua na kuwaondoa Wafanyakazi wasio na tija wa Idara ya Ardhi na Mipango miji kwa kuwa wao ndio wamekuwa wakilalamikiwa na wananchi kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika Halmashauri hiyo.
Agizo hilo limetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Kitwala kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Tabora.
Alisema Wakuu wa Idara hizo wameshindwa kutatua matatizo ya migogoro ya ardhi kwa wananchi na wakati mwingine wameshiriki uovu wa kuwalimbikizia baadhi ya watu viwanja vingi wakati hawana uwezo wa kuviendeleza.
Kitwala amewataka Madiwani kutumia nafasi zao kusafisha Idara mbalimbali za Halmashauri hiyo ambazo watumishi wake hawana tija ili ziweze kuwa na watu ambao watatoa huduma nzuri kwa wananchi.
Alisema Madiwani hawapaswi kuendelea kuwafumbia watumishi ambao hawana tija kwa Halamshauri hiyo na wamekuwa sehemu ya  uzalishaji wa kero mbalimbali za wananchi.
Kitwala aliongeza kuwa inawezekana wapo Wakuu wa Idara ambapo wamekaa katika Manispaa hiyo kwa muda mrefu na hivyo kujenga mtandao ambao unakuwa kero kwa wananchi.
Mkuu huyo wa Wilaya alisema ikitokea Diwani naye akawa sehemu ya uovu huo watatumia njia ya Chama chake kumuondoa au watamsubiri mwaka 2020 ili kumuondoa.
Akizungumzia uchaguzi wa Wajumbe wa Kamati ya Fedha aliwataka Madiwani kuchagua watu wenye uwezo uadilifu na wenye uchungu na maendeleo ya wananchi na Halmashauri hiyo na sio wanaweka mbele maslahi binafsi.


Hivyo makala DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI

yaani makala yote DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-tabora-awagiza-madiwani-kuwaondoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC TABORA AWAGIZA MADIWANI KUWAONDOA WAFANYAKAZI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI"

Post a Comment