- Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa , tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title :
kiungo :

soma pia


Mkalimani wa lugha za alama Zanzibar Amina Abeid, akimtafsiria Mwakilishi wa viti maalumu Zaina Abdalla, wakati kamati yake wa Maendeleo ya Wanawake Habarri na Utalii ilipokua ikikagua kikundi cha ufugaji wa samaki Sizini Wilaya ya Micheweni.
Katibu wa Kikundi cha Umoja na Mshikamano Sizini kinachojishuhulisha na ufugaji wa Samaki Ali Omar Hamad, akiwaonyesha wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi, wakati walipotembelea kikundi chao na kuangalia ufugaji wa samaki
WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakitoka kukagua ufugaji wa samaki katika mabwawa ya baraza la Vijana Wilaya ya Micheweni huko Sizini Wilaya ya Micheweni
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)


Hivyo makala

yaani makala yote Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkalimani-wa-lugha-za-alama-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to " "

Post a Comment