Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud

Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud
kiungo : Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud

soma pia


Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na viongozi mbali mbali wa Serikali Wilaya ya Wete, wakiwemo masheha na Viongozi wa Chama Wilaya huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na viongozi mbali mbali wa Serikali Wilaya ya Wete, wakiwemo masheha na Viongozi wa Chama Wilaya huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf.

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman, akizungumza na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete na masheha wa Wilaya hiyo, huko katika kikao cha Pamoja juu ya mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf.
 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed, wakati alipokuwa akizungumza na masheha na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Wete, juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf
MASHEHA na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud, katika kikao cha pamoja juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf. 

SHEHA wa Shehia Fundo Khamis Abeid, akichangia mada katika kikao cha Pamoja cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, huko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)


Hivyo makala Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud

yaani makala yote Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/ziara-ya-waziri-wa-nchi-ofisi-ya-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Kisiwani Pemba Mhe. Mohammed Aboud"

Post a Comment