title : Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa
kiungo : Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa
Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa
Bendi maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki au "Watoto wa Mbwa" inayoongozwa na kamanda Ras Makunja inatarajiwa kulitingisha jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg katika viwanja vya hamburg-Altona Ujerumani siku ijumaa tarehe 24-08-2018 kuanzia majira ya saa 2.00 usiku (20.00 hour)
Bendi hiyo maarufu inayodumu kwa miaka 24 sasa katika majukwaa ya kimataifa na mtindo wake wa "Bongo Dansi made in Uswahilini" inazidi kuwanasa washabiki katika kila pembe barani ulaya,ni juzi kati tu ilitumbuiza katika onyesho kubwa mjini Tuebingen,Ujermani na Mamling Festival nchi Austria,na ijumaa ya tarehe 24 Augosti 2018 watatingisha tena mjini Hamburg-Altona.
Usikose kuungana nao katika tamasha hilo la wazi pia unaweza kujumuika nao mubashara at www.facebook.com/ngomaafricaband
Hivyo makala Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa
yaani makala yote Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/bongo-dansi-made-in-uswahilini-kuwasha.html
0 Response to "Bongo Dansi made in Uswahilini kuwasha moto jukwaa la Alafia Festival katikani ya jiji la Hamburg, Ujerumani Ijumaa"
Post a Comment