title : ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO
kiungo : ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO
ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO
Mabingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu yanayoandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP,ambayo ni NDONDO CUP. Leo 20August 2018 wamefika Ofisini kwa Mstahiki Meya Boniface Jacob na kulikabidhi kombe hilo kama ishara ya Shukrani kwa Uongozi wa Manispaa ya Ubungo na Mshikamano na wanamichezo. Mstahiki Meya amehaidi ushirikiano wanamichezo wote wa Ubungo watakao kuwa wanaiwakilisha manispaa kwenye michuano mbalimbali.
Picha ya pamoja baada ya meya wa ubungo kupokea kombe.
Picha ya pamoja baada ya meya wa ubungo kupokea kombe.
Hivyo makala ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO
yaani makala yote ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/anzese-united-yakabidhi-kombe-kwa-meya.html
0 Response to "ANZESE UNITED YAKABIDHI KOMBE KWA MEYA UBUNGO"
Post a Comment