title : WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola akisalimiana na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Alli Mussa pamoja na Maofisa wengine alipokuwa akiwasili Makao Mkauu ya Polisi kwa ajili ya kuzungumza na Maofisa Wakuu wa Polisi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro wakati wa kikao chake na Maofisa Wakuu wa Polisi kilichofanyika Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro wakati wa kikao chake na Maofisa Wakuu wa Polisi kilichofanyika Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam.
Picha na Jeshi la Polisi
Hivyo makala WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/waziri-wa-mambo-ya-ndani-atembelea_26.html
0 Response to "WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment