title : Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba
kiungo : Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba
Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba
Mfanyakazi wa Kitalu cha mikarafuu cha Mwanatojo, bibi Mmanga Maulid, akijaza udongo katika vifuko vya kuatikia miche ya mikarafuu huko Kisiwani Pemba.
Mkulima wa kitalu cha mikarafuu huko Kangani Pemba,akiwa pamoja na mawaziri wasiokuwa na wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Soud Said na Mheshimiwa Juma Ali Khatib wakati wa ziara yao ya kuangalia maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba.
Picha na Khadija Kombo -Pemba
Hivyo makala Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba
yaani makala yote Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/maendeleo-ya-uatikaji-wa-miche-ya.html
0 Response to "Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba"
Post a Comment