MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN

MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN
kiungo : MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN

soma pia


MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN

 
Mkurugenzi wa Taasisi ya Nitetee Foundation ya Jijini Mwanza, Flora Lauwo asubuhi ya leo Machi 23, 2019 amepokelewa kwa shangwe katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea nchini Oman alikokuwa amealikwa kutokana na mchango wake mkubwa wa kusaidia watu mbalimbali wenye uhitaji katika jamii kupitia taasisi yake.

Mwezi mmoja uliopita, Lauwo kupitia Ubalozi wa Tanzania alialikwa nchini Oman ambapo Machi 08, 2019 kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani alipatiwa tuzo mbili za kama ishara ya kutambua mchango wake wa kuwasaidia wenye uhitaji katika jamii.

Pia kwenye maadhimisho hayo (Siku ya Wanawake Duniani 2019), Lauwo alipewa tuzo kupitia tamasha la Binti Filamu lililofanyika Jijini Mwanza na hivyo kufanya idadi ya tuzo alizopokea mwaka huu kuwa tatu. Lauwo pia amewahi kushinda tuzo ya Malikia wa Nguvu inayotolewa na Clouds Media Group.



Hivyo makala MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN

yaani makala yote MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/mwanaharakati-flora-lauwo-apokelewa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANAHARAKATI FLORA LAUWO APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MWANZA BAADA YA KUREJEA KUTOKA OMAN"

Post a Comment