title : WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU
kiungo : WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU
WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU
Gari la halmashauri ya Meatu limepata ajali eneo la mkiwa Ikungi likitokea Dodoma lilikuwa na madiwani na mkurugenzi wa halmashauri ya Meatu, inadaiwa kuwa ndani ya gari hiyo kulikuwa na watu 8 watu wawili wamefariki dunia ila bado haithibitishwa majina yao. Globu ya jamii inaendelea kufuatilia tukio hilo na tutaendelea kuwajuza kadri taarifa zitakavyotufikia.
Hivyo makala WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU
yaani makala yote WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/watu-wawili-wadaiwa-kupoteza-maisha.html
0 Response to "WATU WAWILI WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALI YA GARI LA HALMASHARI YA WILAYA YA MEATU"
Post a Comment