title : VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR.
kiungo : VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR.
VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR.
Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akimpokea Rais Mstaafu awamu ya pili Mh.Alhaji Al-Hassan Mwinyi wakati wakiwasili Msasani kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa aliyeambatana na Mkewe Marry Majaliwa wakati wakiwasili Msasani kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar
Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Pinda,kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar
Mawaziri Wakuu wa zamani Mh Edward Lowassa na Mizengo Pinda wakisalimiana msibani.
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mh Bernad Membe akijadiliana jambo na Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu,Ombeni Sefue kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar
Mama Maria Nyerere akiwa Wasaidizi wake wakiwasili kwenye kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar
Waziri Mkuu wa Zamani,Mh Edward Lowassa akizungumza jambo na Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu,Ombeni Sefue kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar.
Hivyo makala VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR.
yaani makala yote VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/viongozi-mbalimbali-wamiminika-msiba-wa.html
0 Response to "VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR."
Post a Comment