UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA

UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA
kiungo : UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA

soma pia


UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

UCHAGUZI wa kihistoria bila kuwepo kwa jina la aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe kama mgombea umefanyika leo nchini Zimbabwe.

Imeelezwa kuwa zaidi ya watu milioni 5 wamejiandikisha na kujitokeza kupiga kura wakiwa na shauku ya kuona mabadiliko baada ya utawala mrefu wa Robert Mugabe(94).

Wagombea wanaochuana vikali ni Rais Emmerson Mnangagwa (75) kutoka ZANU-PF aliyekaimu nafasi mara baada ya Mugabe kujiuzulu na mwanasheria Nelson Chamisa (40) kutoka MDC.

Robert Mugabe amenukuliwa akisema kuwa uchaguzi huu utaiondoa serikali isiyo ya kikatiba madarakani, kauli hii imetafsiriwa kuwa Mugabe anaunga mkono upinzani licha ya Chamisa kukanusha hivyo.Chamisa amejihakikishia ushindi mara baada ya kupiga kura.

Mwaka 1987 Mugabe alichukua kiti cha urais na kuhudumu kwa miaka 37 hadi November 2018 ambapo jeshi la nchi lilipompindua na makamu wake kukaimu nafasi hiyo na hii ni baada ya Rais Mugabe kumfuta makamu huyo kazi kwa kuamini utawala wa Mnangagwa ni haramu na fedheha kwa nchi yao.
Rais Mstaafu wa Zimbabwe Robert Mugabe


Hivyo makala UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA

yaani makala yote UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/uchaguzi-wa-kihistoria-wafanyika-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UCHAGUZI WA KIHISTORIA WAFANYIKA LEO ZIMBABWE, MUGABE ASHUHUDIA"

Post a Comment