TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU

TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU
kiungo : TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU

soma pia


TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Bernard Konga akielezea mwelekeo wa utoaji huduma kwa wanachama wa Mfuko wakati alipokutana na Watoa huduma wa Mkoa wa Kinondoni leo.
 Baadhi ya Watoa Huduma wa Mkoa wa Kinondoni katika kikao cha pamoja na Uongozi wa NHIF ambao ulijadili namna bora ya utoaji wa huduma za matibabu kwa wanachama wake.
 Watoa Huduma wakifuatilia kwa makini majadiliano juu ya uimarishaji wa huduma za matibabu kwa wanachama wa NHIF.

Na Grace Michael
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bw. Bernard Konga amewataka Watoa Huduma wote nchini kushirkiana na Mfuko katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama katika kujipatia huduma za matibabu.

Aliyasema hayo leo wakati akizungumza na Watoa Huduma wa Mkoa wa Kinondoni, Dar es Salaam juu ya uimarishaji wa huduma za matibabu kwa wanachama wake hasa katika kipindi hiki ambapo wananchi wengi zaidi wanajiunga na Mfuko huo.

“Niwahimize kwamba kwa pamoja tuunganishe nguvu zetu katika kuulinda huu Mfuko kwa kupambana na udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa kushirikiana na baadhi ya wanachama. Uhai wa Mfuko huu unatakiwa kulindwa kwa gharama zozote ili uendelee kuwahudumia Watanzania na uwepo hata kwa vizazi vinavyokuja,” alisema Bw. Konga.

Amewapongeza watoa huduma ambao wamekuwa wakitoa taarifa za udanganyifu walizozibaini katika vituo vyao na kuwaomba waendelee na utaratibu huo ili kuulinda Mfuko. Alisema hatua hiyo inaonesha uzalendo wa Watoa huduma hao katika kuhakikisha Mfuko huo unaendelea na uhai wake kwa manufaa ya wanachama na wananchi kwa ujumla.

“Tumeamua sisi kama NHIF kukutana na watoa huduma wetu wote, tukae na tujadili kwa pamoja ili changamoto zinazotuhusu sisi na nyie watoa huduma tuzimalize ili wanachama wetu wanapofika huko wapate huduma stahiki,” alisema Bw. Konga.


Hivyo makala TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU

yaani makala yote TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/tupambaneni-na-udanganyifu-wa-huduma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUPAMBANENI NA UDANGANYIFU WA HUDUMA- MKURUGENZI MKUU"

Post a Comment