title : UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
kiungo : UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
UWT mkoa wa Iringa imeadhimisha miaka 42 ya kuzaliwa chama Cha Mapinduzi ccm kwa kushiriki shuguhuli za kijamii pamoja na wananchi.
Katika maadhimisho yaliyofanyika katika Kijiji Cha Tanangozi kata ya Msekeha halmashauri ya Iringa vijiji,UWT ilikabidhi mifuko 40 ya Saruji katika Shule ya sekondari Tanangozi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa,walipanda miti 30 ya Parachichi katika shamba la shule na kufyatua tofari kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa unaoendelea.
Mgeni rasm katika maadhimisho hayo alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Dkt.Abel Nyamahanga.
Hivyo makala UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
yaani makala yote UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/uwt-iringa-ilivyoadhimisha-miaka-42-ya.html
0 Response to "UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)"
Post a Comment