title : Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
kiungo : Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
MKUU wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema amesema ipo haja ya kuendelea kuudumisha uhusuiano kati ya Tanzania na China kwani una faida nyingi na wenye mambo yanayofanana.
Amesema kuwa Tanzania na china zimekuwa na uhusiano wa kaka na dada na msingi wake mkubwa uliwekwa na waasisi wa nchi hizo mbili ambapo kwa Tanzania ni Hayati Mwalimu Julius Nyerere na China Mao Se tung.
Mjema aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa Tamasha la burudani lililowahusisha watanzania na wachina waishio nchini Tanzania ambalo lilifanyika ukumi wa Makumbusho ya Taifa
Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha kukuza uhusiano wa Tanzania na China (TANZANIA- CHINA FRIENDSHIP PROMOTION ASSOCIATION) ambapo Mjema amepongeza Chama hicho kwa uamuzi wake wa kuandaa tamasha hilo kwa lengo la kuendelea kuimarisha uhusiano uliopo.
" Wakati tunapata uhuru Tanzania na china kuna mambo mengi yanafanana yakiwemo ya burudani kwa maana utamaduni " alisema.Pia alisema ubalozi wa china nchini Tanzania kupitia Balozi wake Wang ke umedhihirisha namna wanavyotambua na kuenzi utamaduni baina ya nchi hizo mbili kwani ndio waliodhamini tamasha hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika Tamasha la Tanzania na China Festival lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho Posta jijini Dar es salaam jana na kuhudhuriwa na wananchi watanzania pamoja na wananchi wa China waishio nchini Tanzania ili kukuza uhusiano na Urafiki katika kupitia Utamaduni na Sanaa.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema akizungumza wakati akiakipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha China nchini Bw. GAO Wei katika Tamasha la Tanzania na China Festival lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho Posta jijini Dar es salaam jana
Katibu wa Chama cha kukuza uhusiano wa Tanzania na china Joseph Kahama akizungumza katika tamasha hilo lililofanyika jana jijini Dar es salaam.
Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang Ke akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema kushoto na Katibu wa Chama cha kukuza uhusiano wa Tanzania na china Joseph Kahama na Mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha China nchini Bw. GAO Weiwa pili kutoka kulia.
Baadhi ya raia wa China waishio nchini Tanzania wakiwa katika tamasha hilo.

Hivyo makala Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam
yaani makala yote Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/tamasha-la-tanzania-china-culture.html
0 Response to "Tamasha la (Tanzania - China Culture Ferstival) lafanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam"
Post a Comment