title : Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba
kiungo : Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba
Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba
KEKI ya kutimiza miaka 52 tokea kuanzishwa kwa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ.
KEKI ya kutimiza miaka 52 tokea kuanzishwa kwa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ.
WATEJA wa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ wakiwa na Meneja wa Benki hiyo Tawi la Pemba Mohamed Sheikh Othman wakikata keki ya kutimiza miaka 52 tokea kuanzishwa kwa benki hiyo mwaka 1966.
MTEJA Benki ya watu wa Zanzibar PBZ akimlisha keki mfanyakazi wa benki hiyo katika sherehe za kutimiza miaka 52 tokea kuanzishwa benki hiyo.
WATEJA wa Benki ya watu wa Zanzibar wakilishana keki katika ghafla ya sherehe ya kutimiza miaka 52 ya benki hiyo
MTEJA wa PBZ akimlisha keki mteja wa zamani tokea mwaka 1972 katika sherehe ya kutimiza miaka 52 ya benki hiyo.
PICHA ya pamoja kati ya wateja na uongozi wa Benki ya watu wa Zanzibar PBZ tawi la Pemba mara baada ya kumaliza sherehe ya kutimiza miaka 52 tokea kuanzishwa kwa benki hiyo
MKURUGENZI Rasilimali watu wa benki ya watu wa Zanzibar Mohamed Omar Mohamed akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla fupi ya kutimiza miaka 52 tokea kuanzishwa kwa benki hiyo iliyofanyika katika Tawi la Benki iliopo Chake Chake Pemba .
PICHA ZOTE NA HABIBA ZARALI PEMBA
Hivyo makala Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba
yaani makala yote Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/sherehe-za-kuadhimisha-miaka-52-ya-pbz.html
0 Response to "Sherehe za kuadhimisha miaka 52 ya PBZ zafana kisiwani Pemba"
Post a Comment