BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,
kiungo : BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,

soma pia


BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko madogo katika baraza lake la Mawaziri, ambapo amemteua aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Alphaxard Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, kuchukua nafasi ya Mwigulu Lameck Nchemba.

Rais Magufuli amefanya mabadiliko hayo alasiri hii kupitia kwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi John Willium Kijazi.

Kwa mujibu wa Balozi Kijazi, nafasi ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), inachukuliwa na Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Musa Ramadhani Sima. 

Aidha Rais ameongeza nafasi ya uteuzi wa Naibu Waziri katika Wizara ya kilimo kutokana na umuhumu wa Wizara hiyo ambapo, Mbunge wa Morogoro Kusini, Omary Mgumba ameteuliwa kushika nafasi hiyo.

Katika mabadiliko hayo madogo, Rais Magufuli amefanya Uhamisho wa Waziri Prof. Makame Mbarawa kutokea Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na sasa anaenda kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, huku aliyekuwa kwenye Wizara hiyo, Mhandisi Isack Kamwelwe anaenda kuwa Waziri wa Uchukuzi.

Balozi Kijazi amesema tarehe ya kuapishwa kwa viongozi hao itatajwa hapo baadaye.



Hivyo makala BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,

yaani makala yote BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI, mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/breaking-nyuzzzz-rais-dkt-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,"

Post a Comment