Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}

Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe} - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}
kiungo : Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}

soma pia


Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}

  Baadhi ya Wanafunzi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi ya Elimu ya Juu Zanzibar wakishiriki maandamano ya uzinduzi wa Tamasha la mashindano ya Shirikisho hilo kwenye Uwanja wa  Amani Mjini Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {ZAHILFE} Abdulatif Qadir Mussa akisoma Risala kwenye uzinduzi wa Tamasha la Mashindano ya Shirikisho hilo.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  wa kwanza Kulia akiwa na Waziri wa Elimu Riziki Pembe Juma na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Zahilfe Ayoub Mohamed Mahmoud wakishuhudia mashindano ya Riadha yaliyoandaliwa na Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Zahilfe  ambae pia ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa salamu kwenye uzinduzi wa Tamasha la Mashindano ya Zahilfe hapo uwanja wa Aman
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma akijiandaa kumkaribisha Balozi Seif  kulizindua Tamasha  la Mashindano ya Zahilfe kwenye uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  akilizindua Tamasha  la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}  kwenye uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.

 Balozi Seif na Viongozi wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Soka ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar {SUZA} kabla ya kuanza pambano lao na Timu ya Soka ya Chuo Kikuu cha Sumait cha Chukwani.
 Balozi Seif na Viongozi wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Soka ya Chuo Kikuu cha Sumait cha Chukwani kabla ya kuanza pambano lao na Timu ya Soka ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar {SUZA}
 Timu za Soka za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar {SUZA} na Chuo Kikuu cha Sumait kilipo Chukwani wakisimama kuwakumbuka  wanachama wenzao ambao tayari wameshafika mbele ya Haki{kufariki dunia}.
 Balozi Seif na Viongozi wenzake wakijumika pamoja na Wanachama wa Zahilfe wakisimama kuwakumbuka  wanachama wa Shirikisho hilo ambao tayari wameshafika mbele ya Haki{kufariki dunia}.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}

yaani makala yote Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe} Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe} mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/balozi-seif-mgeni-rasmin-katika-tamasha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi Seif mgeni rasmin katika Tamasha la Mashindano ya Shirikisho la Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar {Zahilfe}"

Post a Comment