RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI.

RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI.
kiungo : RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI.

soma pia


RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 12 amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo baada ya Mwenge huo kukamilisha shughuli ya uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 32.

RC Makonda amesema kuwa ndani ya siku tano ambazo mwenge ulikuwa jijini Dar es salaam umefanikiwa kutembelea, kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi 36 ya maendeleo kwenye wilaya zote tano. 

Aidha RC Makonda amewashukuru wananchi wa Dar es salaam kwa ushirikiano mkubwa walioonesha tangu siku mwenge ulipoingia hadi leo alipoukabidhi kwa mkoa wa Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo mapema leo baada ya Mwenge huo kukamilisha shughuli ya uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 32 Mkoani Dar Es Salaam.


Hivyo makala RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI.

yaani makala yote RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rc-makonda-akabidhi-mwenge-wa-uhuru.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI."

Post a Comment