KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA

KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA
kiungo : KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA

soma pia


KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Timu ya KMC Fc imeendelea na usajili wake wa kuzidi kuimarisha kikosi chao kinachonolewa na Kocha Mrundi Etienne Ndayiragije kwa kumsajili kiungo mshambuliaji Abdul Hillary Hassan aliyekua anakipiga katika timu ya Tusker Fc ya Nchini Kenya.

Hillary mwenye umri wa miaka 23 na refu wa futi 6 amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kwa ajili ya kukitumikia kikosi hicho kilichopanda ligi kuu msimu wa 2018/19.Mchezaji huyo anayetumia miguu yote kwa ufasaha amekulia katika kituo cha DYOC (Dar es saalam Youth Olimpic Centre) na msimu wa 2014-16 wa ligi kuu Tanzania Bara Aliweza kucheza timu ya African Lyon kabla ya kutimkia nchini Kenya.

Mwaka 2017, Hillary alianza kutumikia ligi kuu ya kenya na kufanikiwa kuchezea katika timu ya Tusker fc ambayo uwezo wake aliouonesha uliweza kumpa nafasi ya kuitwa timu ya taifa Kilimanjaro Stars na kushiriki michuano ya CECAFA Senior challenge cup 2017.Mchezaji huyo ametia saini kandarisi hiyo mbele ya Meneja wa timu Walter Harrison tayari kwa kuanza kazi ya kuhakikisha KMC itaendelea kusalia katika ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Mpaka sasa KMC wamefanikiwa kunasa saini za wachezaji wazoefu wa Ligi Kuu Kama Juma Kaseja kutoka Kagera, Humud, Ally Ally kutoka Stand United na wengineo.
Kiungo Mshambuliaji  Abdul Hillary Hassan akiwa pamoja na Meneja wa timu ya KMC Fc (Kushoto) Walter Harrison baada ya kusaini kandarasi ya mwaka mmoja kutumikia kikosi hicho.


Hivyo makala KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA

yaani makala yote KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kmc-fc-yanasa-saini-ya-kiungo-mtanzania_12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA"

Post a Comment