AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR

AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR
kiungo : AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR

soma pia


AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR

Na Agness Francis Globu ya jamii
KLABU Bingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC wanawakaribisha France Rangers katika dimba lao la nyumbani kwa ajili ya mchezo wa kirafiki.

France Rangers ni timu ambayo imemaliza msimu huu daraja la kwanza Mkoa wa Dar es Salaam yenye kikosi kizuri na wachezaji walio fiti uwanjani.

Mchezo huo wa kirafiki dhidi ya timu hizo mbili utachezwa katika uwanja wa Azam Complex Chamazi  utakaofanyika kesho Jumamosi.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Ofisa Habari Azam FC Jaffary amesema pamoja na kikosi chao kinaendelea na mazoezi  kukabiliana na Mtibwa sugar katika mchezo wa robo Fainali kombe la  FA  machi 31 mwaka huu, mwalimu na benchi la ufundi kuweza kuwapima wachezaji kwa kuomba mechi ya kirafiki dhidi ya France Rangers ya Dar es Salaam.

"Ni sehemu tu ya benchi  la ufundi na mwalimu kuweza kuangalia baada ya mazoezi ya wiki moja na nusu pengine tu ni kutaka kuona kiwango cha  wachezaji pamoja na uwezo  wa kila mchezaji walichokielewa katika hazoezi hayo" amesema Jaffary.

Amesema katika mchezo huo watawakosa wachezaji wao mahiri wanne ambao ni Himidi Mau, Yahaya Zayd na Shabani Chilunda ambao wameitwa katika timu ya Taifa (Taifa Satars),mwengine ni Daniel Amor kutoka Ghana ambaye ni majeruhi.

"Mchezaji wetu nyota wa kimataifa kutoka nchini Ghana Daniel Amor anasumbuliwa na tatizo la goti, uongozi utamsafirisha  Amor  Siku ya  Jumatatu kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu" amesema Jaffary.


Hivyo makala AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR

yaani makala yote AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/azam-kujipima-nguvu-kwa-france-rangers.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AZAM KUJIPIMA NGUVU KWA FRANCE RANGERS KABLA YA KUVAANA NA MTIBWA SUGAR"

Post a Comment