RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM.
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM.

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM.

 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Dhifa ya kitaifa aliyowaandalia viongozi wa vyama vya siasa kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China cha CPC Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Viongozi wa vyama vya siasa kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China cha CPC wakiwa katika Dhifa hio ya kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na  Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao wakiangalia burudani kutoka katika kikundi cha TOT katika Dhifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.



 Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na  Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao akizungumza katika hafla hiyo ya chakula cha jioni.

  Kikundi cha TOT kikitumbuiza katika dhifa hiyo ya kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na  Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao mara baada ya hafla hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya Dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM.

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/rais-dkt-magufuli-awaandalia-dhifa-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA PAMOJA NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) WANAOSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO WA VIONGOZI JIJINI DAR ES SALAAM."

Post a Comment