IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA

IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA
kiungo : IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA

soma pia


IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (wapili kulia), akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (katikati), mchoro wa ramani ya nyumba za Polisi za kisasa zitakazojengwa kufuatia za awali kuteketea kwa moto. Hatua ya ujenzi imeanza mara moja kufuatia Mhe. Rais Dkt. John Magufuli, kutoa kiasi cha shilingi milioni 260 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hizo. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Makampuni ya Hanspaul, Kamaljit Singh, na kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha (DCP) Charles Mkumbo na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Wakala ya Majengo Arusha Bw. Victor,. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiagana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, alipomtembelea ofisini leo tayari kwa safari ya kurejea Dar es salaam, baada ya kuwapapole na kukagua eneo la nyumba za Polisi zilizoteketea kwa moto. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA

yaani makala yote IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/igp-sirro-akabidhiwa-ramani-ya-nyumba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKABIDHIWA RAMANI YA NYUMBA ZA POLISI ZITAKAZOJENGWA ARUSHA"

Post a Comment