Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa

Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa
kiungo : Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa

soma pia


Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini China wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo lililotobolewa katika paja (Catheterization) wa kuzibua mshipa wa moyo ambao haupitishi damu vizuri kwa kutumia mtambo wa Cathlab. Kwa mwaka huu wa 2018 madaktari watatu wametolewa na Serikali ya China kwaajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo. 
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo lililotobolewa katika paja (Catheterization) wa kuzibua mshipa wa moyo ambao haupitishi damu vizuri . 
Madaktari bingwa wa Upasuaji wa Moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mwenzao kutoka nchini China wakimfanyia upasuaji wa moyo mtoto mwenye umri wa miaka 13 wa kuziba tundu la moyo na kufungua njia inayopeleka damu kwenye mapafu. Kwa mwaka huu wa 2018 madaktari watatu wametolewa na Serikali ya China kwaajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo. Picha na JKCI.


Hivyo makala Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa

yaani makala yote Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/madaktari-bingwa-wa-moyo-wa-taasisi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini China wafanya upasuaji kwa wagonjwa"

Post a Comment