Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya

Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya
kiungo : Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya

soma pia


Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya

 Mshambuliaji wa Jang'ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde, Gor Mahia wameshinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Medie Kagere katika dakika ya 63 na 84. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.
 Kiungo wa Jang'ombe Boys, Abdi Kassim, akimiliki mpira mbele ya beki wa Gor Mahia, wakati wa 
mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 Kipa wa Gor Mahia, Shakava Haron, akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 Mchezaji wa Jang'ombe Boys, Abdallah Rashid, akimtoka Wafula Innocent, wakati wa mchezo wa 
mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Abdi Kassim akitawala dimba......
 Kikosi cha Gor Mahia
 Kikosi cha Jang'ombe......
 Makame Khamis wa Jang'mbe, akiruka kumiliki mpira....
 Mshambuliaji wa Jang'ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kukatika katikati ya msitu wa wachezaji wa Gor Mahia.
Wachezaji wa Nakuru wakiwa jukwaani kabla ya mchezo wao.


Hivyo makala Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya

yaani makala yote Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/jangombe-boys-yaaga-mashindano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Jang'ombe Boys yaaga mashindano ya Sportpesa Super cup yafungwa 2-0 na Gor Mahia ya Kenya"

Post a Comment