KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA

KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA
kiungo : KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA

soma pia


KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA

  Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young (wa pili kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Kulia ni Bw. Tiger Lee (Seung - Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania.
 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia) akizungumza na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young (wa pili kushoto) alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Kulia ni Bw. Tiger Lee (Seung - Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania.
 Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young akimkabidhi zawadi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere alipomtembelea Kamishna huyo ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Wa kwanza kushoto  ni Bw. Tiger Lee (Seung - Hoon) kutoka Ofisi ya Ubalozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania na wa kwanza kulia ni Bw. Said Athumani, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango wa TRA.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young wakipeana mikono baada ya kumaliza mazungumzo wakati Balozi huyo alipomtembelea Kamishna Mkuu ofsini kwake mapema leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya kodi katika uwekezaji na biashara. Wa kwanza kulia ni Bw. Said Athumani, Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti, Sera na Mipango wa TRA. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).


Hivyo makala KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA

yaani makala yote KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/kamishna-mkuu-wa-tra-atembelewa-na_11.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA KUSINI NCHINI TANZANIA"

Post a Comment