title : MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA
kiungo : MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA
MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau Mkoa wa Tanga (CUF), amejivua uanachama wa chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa kisiasa wa chama hicho na kujiridhisha na utendaji wa serikali ya awamu ya Tano chini na Rais John Magufuli.
Aidha, Mwidau hajabainisha iwapo atajiunga na chama chochote cha siasa.
Hivyo makala MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA
yaani makala yote MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mbunge-wa-cuf-ajivua-uanachama.html
0 Response to "MBUNGE WA CUF AJIVUA UANACHAMA"
Post a Comment