‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE

‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE
kiungo : ‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE

soma pia


‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE



SERIKALI imesema hivi sasa inatoa sh. bilioni 22.2 kila mwezi ili kuboresha elimu ya msingi na sekondari hapa nchini.

Kauli hiyo imetolewa jana (Jumamosi, Septemba 2, 2017) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. George Simbachawene wakati akizungumza na wahitimu 166 wa darasa la saba wa shule ya msingi ya Martin Luther, kwenye sherehe za mahafali ya 10 zilizofanyika shuleni hapo katika Manispaa ya Dodoma.

Waziri Simbachawene ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alisema Serikali itaendelea kuboresha elimu ya sekondari kwa kuajiri walimu wengi zaidi wa masomo ya sayansi.

“Wazazi wa wanafunzi wanaohitimu tunawakaribisha kwenye shule za sekondari kwa sababu zote zina walimu wa kutosha, madawati na vifaa vya kufundishia. Kila mwezi tunatenga sh. bilioni 22.2 kuendesha shule za msingi na za sekondari hadi kidato cha nne,” alisema.Alisema hivi sasa, baadhi ya shule zinakabiliwa na changamoto ndogo ya upungufu wa walimu wa sayansi lakini nayo itatuliwa hivi karibuni kwa sababu vibali vya ajira vimeanza kutolewa.

“Tunaendelea kuziboresha na tumeshuhudia miaka ya karibuni wanafunzi bora kitaifa wakitoka katika shule za Serikali ambazo wengi wamezoea kuziita ni shule za kata. Hakuna shule za kata. Zote ni zimejengwa na Serikali,” alisisitiza.“Ukienda vyuo vikuu, wanafunzi na ufaulu wa juu wengi wao ni wale waliotoka kwenye shule za Serikali,” aliongeza.



Hivyo makala ‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE

yaani makala yote ‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/serikali-inatoa-sh-bilioni-22-kila.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "‘SERIKALI INATOA SH. BILIONI 22 KILA MWEZI KUBORESHA ELIMU’-WAZIRI SIMBACHAWENE"

Post a Comment