YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA
kiungo : YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

soma pia


YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

Yanga imeshindwa kuuweza mziki wa Gor Mahia FC katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuambulia kichapo cha mabao 4-0.
Mchezo huo uliopigwa jijini Nairobi usiku huu umeshuhudia Gor Mahia wakipachika mabao yao kupitia kwa Jacques Tuyisenge, Ephram Guikan aliyefunga mawili pamoja na Mwinyi haji aliyejifunga.
Ushindi huo wa Gor Mahia unawafanya waendelee kukalia nafasi ya pili katika kundi D wakifikisha jumla ya alama 5 huku MC Alger walio kileleni wakiwa na pointi 7 wakati Rayon Sports ya Rwanda ikishika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 2.
Yanga imekuwa timu ya kwanza ndani ya kundi hilo kuruhusu mabao 8 baada ya kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya MC Algeria kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa huko Algeria na Gor Mahia FC.
Kikosi hicho sasa kimejiwekea mazingira magumu zaidi kufuzu kuelekea hatua inayofuata kutokana na matokeo mabovu ambapo katika mechi tatu kilichocheza kimeambulia alama moja pekee.


Hivyo makala YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA

yaani makala yote YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/yanga-yajiweka-mazingira-magumu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA YAJIWEKA MAZINGIRA MAGUMU KIMATAIFA"

Post a Comment