title : MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI
MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye viwanja vya Ruandanzovwe, Makamu wa Rais yupo mkoani Mbeya kwenye ziara ya kuhamasisha maendeleo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia waliokuwa madiwani wa Chadema ambao wametangaza rasmi kujiunga na CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ruandanzovwe Mbeya mjini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Mhe. Joseph Mbilinyi (Chadema) mara baada ya kumaliza kuhutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye viwanja vya Ruandanzovwe, Makamu wa Rais yupo mkoani Mbeya kwenye ziara ya kuhamasisha maendeleo.
Sehemu ya Wakazi wa Mbeya mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ruandanzovwe.

Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-afanya-mkutano-wa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFANYA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI"
Post a Comment