title : MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR
kiungo : MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR
MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR
MwambawahabariWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mohammed Abdulwakil ambaye ni Kaka wa Rais wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil Wakati alipozulu kaburi la Rais huyo, eneo la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Rais wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil kwenye kaburi la Rais huyo enero la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Sira Ubwa Mwamboya, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja , Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hassan Khatib Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa kofia na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Mwakakogwa, Mwalimu Makungu Mwita katika sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuhitimisha Sherehe za Mwakakogwa, eneo la Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi, Julai 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya washiriki wa sherehe za Mwakakogwa wakati alipowasili Makunduchi Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo, Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye eneo la Shereza za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Sherehe za Mwakakongwa zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Hassan Khatib Hassan. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR
yaani makala yote MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/majaliwa-ashiriki-sherehe-za-mwakakogwa.html
0 Response to "MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR"
Post a Comment