WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI

WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI
kiungo : WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI

soma pia


WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

WATU 28, wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia Chadema (ChADEMA), wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kukusanyika isivyo halali.

Mbele ya Hakimu Mkazi Godfrey Mwambapa, watuhumiwa hao wote wanadaiwa kuwa Februari 16, mwaka huu huko Kinondoni katika eneo la Mkwajuni lililopo katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, walifanya mkusanyiko usio wa halali kinyume cha sheria.

Mwendesha Mashtaka wakili wa Serikali, Faraji Nguka leo akisoma mashtaka amedai, lengo la mkusanyiko huo wakiwa na nia ya kufanya uvunjifu wa amani na kusababisha taharuki kwa wananchi.

Hata hivyo, washtakiwa wote wamekana kuhusika kwenye tukio hilo na baadhi yao wameweza kutimiza mashati ya dhamana ambayo yamewataka kila mshtakiwa kuwa na mdhamini mmoja atayesaini bondi ya shilingi milioni moja na nusu.

 Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika na kesi hiyo imeahirishwa hadi Machine 8, mwaka huu.

Baadhi ya majina ya watuhumiwa hao ni, Tabitha Mkude, Haji Lukwambe, Emmanuel Kimoi, Mohammed Juma, Hussein Mnombo, Abdallah Hamisi, Hussein Kidela, Paulo Kimaro, Brayan Morris, Hussein Nguli na Edina Kimaro.

Wengine ni Fatuma Ramadhani, Asha Kileta, Salha Ngondo, Ally Rajabu, Raphael Mwaipopo, na Athumani Mkawa.
WATU 28, wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia Chadema (CHADEMA), wakiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kukusanyika isivyo halali.


Hivyo makala WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI

yaani makala yote WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/wafuasi-28-chadema-wafikishwa-kortini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAFUASI 28 CHADEMA WAFIKISHWA KORTINI KWA KUTUHUMIWA KUFANYA MKUSANYIKO ISIVYOHALALI"

Post a Comment