title : MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO
kiungo : MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO
MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO
Wakili wa Kujitegemea kutoka Haki Advocates, Aloyce Komba akitoa Mada ya utoaji wa Habari za Kimahakama kwa waandishi wa Habari za Mahakama wanaoshiriki katika mafunzo ya Uandishi wa Habari za Kimahakama katika Ukumbi wa Magadu mkoani Morogoro.
Naibu Msajili, Mahakama Kuu, Augustino Rwizile akitoa mada ya ‘Hatua mbalimbali za Mashauri ya Jinai na Madai’, lengo ni kuwaelimisha zaidi Waandishi hao juu ya hatua/taratibu mbalimbali katika uendeshaji wa mashauri hayo.
Afisa Tehama kutoka Mahakama ya Rufani-Tanzania, Allan Machella akitoa mada ya ‘Njia kuelekea Mahakama Mtandao, Mipango na Mafanikio.’
Mwandishi wa Nipashe, Hellen Mwango akichangia mada katika mafunzo hayo.
Washiriki wakifuatilia mada kwa umakini.
(Picha na Mary Gwera)
Hivyo makala MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO
yaani makala yote MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mafunzo-ya-waandishi-wa-habari-za.html
0 Response to "MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO"
Post a Comment