title : GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME.
kiungo : GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME.
GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME.
Mwamba wa habari
Mwanasheria na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Methusela Gwajima ,ameipongeza familia ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ,kwa kupata mtoto wa kiume.
Gwajima ametoa pongezi hizo katika ukurasa wake wa Mtandao wa kijami wa INSTAGRAM leo na kusema kuwa mengi yalisemwa lakini Mungu ni anatosha.
"Hongera sana ndugu zangu kwa kupata zawadi ya mtoto mengi yalisemwa lakini kwa hakika Mungu wetu anatosha kwani hujibu kwa wakati wake maombi daima ni silaha bora kwa aduizetu'. ameadindika Gwajima.
Itakumbukwa kuwa Gwajima na Makonda ni marfiki wa muda mrefu wakati wa shida naraha ,marakwa mara amekuwa akiamini utendaji kazi wa Paul Makonda kuwa ni kiongozi ambaye ni mfano wa kuigwa na kusisitizakuwapuuza maadui wasiomtakia mema katika utumishi wakeulio tukuka.
Hivyo makala GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME.
yaani makala yote GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/gwajima-aipongeza-familia-ya-bwana-na.html
0 Response to "GWAJIMA AIPONGEZA FAMILIA YA BWANA NA BIBI PAUL MAKONDA KWA KUPATA MTOTO WA KIUME."
Post a Comment