title : HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20
kiungo : HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20
HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20
Muigizaji wa filamu nchini, Wema Abraham Sepetu akiwa na mama yake wakati wakitoka Mahakamani Kisutu jijini Dar es salaam mapema leo, baada ya Hukumu ya Kesi inayomkabili ya kutumia madawa ya kulevya kusogezwa mbele hadi Ijumaa ya Julai 20. Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili mnamo tarehe 23 Aprili 2018 walikutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana kuonekana walikuwa wakitumia Madawa za kulevya.
Hivyo makala HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20
yaani makala yote HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/hukumu-kesi-ya-wema-sepetu-yasogezwa.html
0 Response to "HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20"
Post a Comment