title : KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA
kiungo : KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA
KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Agnes Kijo amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Horohoro wilayani Mkinga na kuridhishwa na utendaji wa watumishi hao huku akiwahaidi kupeleka maabara inayohamishika kwenye kituo hicho ili kuweza kupima dawa za malaria, ukimwi na dawa za kuulia vijidudu.
TFDA na Taasisi za serikali wanatoa huduma ya kufanya ukaguzi wa bidhaa za chakula, dawa,vipodozi, vifaa tiba na vitenganishi kwa ajili ya kuhakikisha vinaingia nchini zikiwa salama na kwamba vimeidhinishwa na mamlaka husika kabla ya kuingia nchini
Agnes aliyasema hayo wakati akiwa eneo hilo mara baada ya kuzungumza na watumishi wa mamlaka hiyo wakati wa ziara hiyo ilikuwa na lengo la kuangalia kama watendaji waliowapa dhamana kwenye vituo vya forodha wanafanya kazi kulingana na sheria, taratibu na miongozi walizowapatia ya kikaguzi kazi kubwa inafanyika kwenye vituo hivyo
Alisema hilo linatokana na eneo hilo kutokuwa na maabara inayohamishika hivyo wataiweka ili waweze kujua dalili na bidhaa kama zinazoingia wakati zinapita mpakani ziruhusiwe au kutokuziruhusu kutokana baada ya kujiridhisha iwapo zinapaswa kufanywa hivyo .
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Agnes Kijo kulia akionyeshwa baadhi ya taarifa kwenye ofisi za mamlaka hiyo zilizopo eneo la Horohoro mpakani mwa Tanzania na Kenya na mkaguzi Mfawidhi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) mpakani mwa Tanzania na Kenya (Horohoro) Thomas Nkondola . mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza
KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Agnes Kijo kulia akizungumza mara baada ya kufanya ziara hiyo ya kushtukiza
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA)Agnes Kijo kushoto akimsikiliza kwa umakini Mkaguzi Mfawidhi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) mpakani mwa Tanzania na Kenya (Horohoro) Thomas Nkondola wakati alipofanya ziara ya kushtukiza mpakani hapo.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA)Agnes Kijo kushoto akikagua bidhaa mbalimbali zilizokamatwa na mamlaka hiyo eneo la Horohoro wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kulia ni Mkaguzi Mfawidhi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) mpakani mwa Tanzania na Kenya (Horohoro) Thomas Nkondola
Hivyo makala KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA
yaani makala yote KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kaimu-mkurugenzi-wa-tfda-afanya-ziara.html
0 Response to "KAIMU MKURUGENZI WA TFDA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA MPAKANI MWA TANZANIA NA KENYA HOROHORO AHAIDI KUPELEKA MAABARA ZINAZOHAMISHIKA"
Post a Comment