GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN

GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN
kiungo : GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN

soma pia


GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN

Na Luteni Selemani Semunyu

Wachezaji wa klabu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo imewasili salama Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya kushiriki mashindano ya wazi ya mufindi ya utalii karibu Kusini Mufindi gofu challenge yanayotarajiwa kuanza kesho(leo) kwa wachezaji wa ridhaa..

Akizungumza mara baada ya kuwasili Afisa Utawala wa klabu ya Lugalo Kapteni Amanzi Mandengule alisema timu imewasili salama na hakuna majeruhi na siku ya leo wataitumia kwa ajili ya mazoezi ili kuufahamu uwanja.“ Tumefika salama na Timu yetu sote tukiwa salama na Wachezaji wetu wa Kulipwa wameingia uwanjani leo ikiwa ndio siku yao na tunaimani tutafanya vizuri pia kwa kundi hilo” Alisema Kapteni Mandengule.

Kapteni Mandengule aliongeza kuwa licha ya kuwa wamefika salama lakini kuna changamoto ya hali ya hewa kwani Mufindi ni baridi ukilinganisha na Dar es Salaam ambapo hali nin ya Joto lakini watapambana kwa kuwa walilifahamu hilo.Kwa upande wa wachezaji wa kulipwa wachezaji 11 wameingia uwanjani kumenyana katika mashindano hayo yaliyoandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa wa iringa kwa kushirikiana na wizara ya maliasili na utalii yakilenga kutangaza fursa na vivutio vya utalii nyanda za juu kusini.

Katika hatua ya mwanzo ya michuano hiyo Mchezaji George Leverian wa Lugalo ameibuka na ushindi kwa kupiga mpira mrefu na wameingia katika Raundi ya pili itakayoamua mshindi katika vipengele vingine na ushindi wa Jumla.Katika mashindano hayo ya siku tatu mbali na kushiriki katika mashindano hayo lakini watapata fursa ya kutembelea na kujifunza masuala mbalimbali kuhusu sekta ya utali hususani utalii wa nyanda za juu kusini.

Mbali na wachezaji wa kutoka Klabu ya Lugalo pia Wachezaji kutoka Vilabu vya Morogoro Gymkhana, Dar es Salaam Gymkhana, Moshi Club ,TPC, Kili Golf Club ya Arusha na wenyeji klabu ya Mufindi ya Iringa watashiriki katika mashindano hayo.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Golf ya Lugalo wakiwasili katika uwanja wa Gofu wa Mufindi mkoani Iringa yenye lengo la Kutangaza vivutio vya Utalii vya nyanda za juu kusini hususani Mufindi.
Mchezaji gofu wa kulipwa kutoka Klabu ya Lugalo Geofrey Leverian aliyeibuka mshindi kwa kupiga mpira Mrefu akipiga Mpira wakati wa Mashindano ya wazi ya Mufindi yenye lengo la Kutangaza vivutio vya Utalii vya nyanda za juu kusini hususani Mufindi.


Hivyo makala GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN

yaani makala yote GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/gofu-lugalo-yawasili-na-kuanza-vyema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "GOFU LUGALO YAWASILI NA KUANZA VYEMA MUFINDI OPEN"

Post a Comment