title : MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR
kiungo : MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR
MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR
Maziko ya Mtangazaji wa RTD Ahmed Jongo yamefanyika leo makaburi ya Mbagala Charambee Dar es Salaam
Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika nyumbani leo mchana kwenye mazishi ya aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Ndugu,Jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar Es Salaam.
Sehemu ya waombolezaji wakiwamo ndugu,jamaa na marafiki wakijadiliana jambo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa mtangazaji nguli wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar Es Salaam.
Miongoni mwa ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo Tandika Maghorofani ambaye amefarikia dunia jana.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakijadiliana jambo katika msibani wa marehemu aliyekuwa Mtangazaji nguli wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakipata chakula cha mchana nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji mkongwe wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani,jijini Dar es Salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika picha ya pamoja nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania (RTD),Ahmed Jongo,nyumbani kwake Tandika Maghorofani Dar es Salaam.
Hivyo makala MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR
yaani makala yote MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mtangazaji-nguli-wa-redio-tanzania-rtd.html
0 Response to "MTANGAZAJI NGULI WA REDIO TANZANIA (RTD) AHMED JONGO AZIKWA LEO MAKABURI YA MBAGALA CHARAMBE DAR"
Post a Comment