title : Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza
kiungo : Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza
Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini akiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
VIONGOZI mbali mbali wakimpungia mkono wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu,[Picha na Ikulu
Hivyo makala Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza
yaani makala yote Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dkshein-asafiri-safari-maalum-nchini.html
0 Response to "Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza"
Post a Comment