DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO

DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO
kiungo : DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO

soma pia


DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO


MBUNGE wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani (CCM), aliishukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa vituo vipya vya afya wilayani Chato. 

Hospitali hiyo kubwa ya kisasa inajengwa na serikali kwa gharama ya Sh bilioni 9.1 ambapo hadi sasa zimetolewa Sh bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi huo. Amesema ujenzi wa hospitali kubwa ya rufaa ya kisasa inakuwa msaada kwa wananchi wa mikoa ya Geita na Kagera ambao walikuwa wakisafiri umbali mrefu kutafuta huduma za afya kwa madaktari bingwa. 

Akitoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu yake ya kibunge kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile, leo Mjini Chato, alisema kuwa anaishukuru Serikali wakati wote kwa kusaidia maendeleo ya jimbo lake hasa kwenye sekta ya afya. 

“Ninaishukuru Serikali pamoja na nawe Mheshimiwa Naibu Waziri ambaye muda wote umekuwa msaada kwetu wananchi wa Chato, kwa miaka mitatu mfululizo ninapoleta maombi yangu ya ujenzi wa vituo vya afya muda wote wizara yako imekuwa ikitupa fedha. 

“Na kukamilika kwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Chato, itakuwa mkombozi kwani itaweza kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi wa Chato, Geita, Muleba na Biharamulo. 
Mbunge wa Chato, Dk. Medard Kalemani, ambaye pia ni Waziri wa Nishati, akimtambulisha kwa kina mama walioepeka watoto wao Kliniki leo, katika Hospitali Wilaya ya Chato, ambapo alitumia fursa hiyo kumtambulisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile. 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile, akizungumza na mmoja wa watoto katika Hoaspitali ya Wilaya ya Chato. Kulia ni Mbunge wa Chato ambaye pia Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani. 
Mbunge wa Chato, Dk. Medard Kalemani, ambaye pia ni Waziri wa Nishati, akizungumza wakati wa kumkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile, ambaye leo amewasili Wilayani Chato kwa ziara ya kikazi. 




Hivyo makala DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO

yaani makala yote DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dk-kalemani-ashukuru-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK. KALEMANI ASHUKURU UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA CHATO"

Post a Comment