DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI

DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI
kiungo : DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI

soma pia


DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI

Na Khadija  Seif,Globu ya jamii                                        
KAMPUNI ya kubashiri michezo ya Sportpesa  imemtambulisha bondia Hassan Mwakinyo ambaye anaongoza katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuwa balozi wa kampuni.

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dk.Harrison Mwakyembe ameipongeza kampuni ya sportpesa kwa udhamini huo na utakaomuwezesha Mwakinyo kunufaika zaidi.

Dk. Mwakyembe akizungumza zaidi leo Oktoba 26 amesema kuwa mkataba huo hujawahi kutokea tangu sheria mpya ya michezo ya ngumi kutungwa upya na kuwa kama mchezo wa kulipwa.

Amesema kuwa anajivunia kampuni ambazo zinajitolea kwa hali na mali kunyanyua vipaji vya vijana wengi nchini na hata akiondoka madarakani mwaka 2020 atakua ameacha misingi imara itakayowawezesha vijana kujikwamua kiuchumi hasa kupitia sekta ya michezo kwani wengi huendesha maisha yao kupitia michezo ,sanaa na utamaduni.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Utawala na udhibiti wa kampuni ya Sportpesa Abbas Tarimba amesema kampuni hiyo imekua ikitoa udhamini kwa sekta ya mpira wa miguu, hivyo kwa sasa wameona ni vyema kutoa udhamini kwa upande wa michezo ya masumbwi au ngumi.

Tarimba amefafanua zaidi mkataba huo ambao Mwakinyo atapewa ni pamoja na kumgharamikia kuanzia vifaa vyake vya mazoezi pamoja na mahitaji mengine binafsi ili kumpa hamasa kuitangaza sportpesa nchi nzima hata kwa nchi zingine kiujumla. 

Wakati huo huo Makamu Mwenyekiti wa ngumi Alex Mkenyenge ameomba wadau wengi wajitokeze ili kusaidia mchezo wa ngumi kwani kuna vijana wengi wanaofanya vizuri na kupeperusha bendera yetu akiwemo mwakinyo.



Hivyo makala DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI

yaani makala yote DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dk-mwakyembe-azitaka-kampuni-nyingine.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI NYINGINE KUIGA WANACHOFANYA SPORTPESA KATIKA KUDHAMINI MICHEZO NCHINI"

Post a Comment