DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE

DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE
kiungo : DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE

soma pia


DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE

Katika msaragambo uliofanyika kata ya Stesheni eneo la mighareni - Wilayani Same, iliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Rosemary Senyamule, Ilikuwa ni kusafisha, kuchimba,  kufukia na kujaza udongo mashimo katika barabara inayoelekea eneo la shule ya sekondari mighareni.

Kwa kuitikia wito wa uongozi wa Wilaya hiyo wa kila Jumatatu ya wiki kufanya kazi za kijamii, wananchi zaidi ya 500 walijitokeza kushiriki kazi hiyo ambapo baada ya hapo kulikuwa na mkutano wa kusikiliza kero. 

Kero iliyotajwa zaidi ni maji na kutokuwepo kwa barabara za mitaa kwenye maeneo mengi ya vitongoji, hivyo TARURA, SAUWASA waahidi kutatua kero hizo. 

Baada ya kushiriki kazi hiyo na kusikiliza kero, DC Senyamule apongeza kwa kuanza na kichaka na kumaliza na barabara inayopitika. 

Aliwaagiza viongozi wa kata kufuatilia michango na kuhakikisha shule inakamilika na kupokea wanafunzi 2019. Awataka kusoma mapato na matumizi na kutoa takwimu za uhakika za waliochanga. 

Mwanaume aliyebeba ndoo kichwani ni Mkt. wa mamlaka wa mji mdogo wa Same. 
" Tukiendelea na ushirikiano huu viongozi Same itakimbia" Kwani wananchi wanapata moyo wa kufanya kazi. Alisema DC huyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamule (mwenye kilemba) akishikiana na wananchi wake kuondoa udongo wakati wa zoezi la kuchonga barabara ya inayoelekea eneo la shule ya sekondari mighareni.
 Wananchi wa Wilaya wa Same wakishirikiana kwa pamoja kufanikisha zoezi hilo.


Hivyo makala DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE

yaani makala yote DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/dc-same-aongoza-msaragambo-na-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC SAME AONGOZA MSARAGAMBO NA WANANCHI WAKE"

Post a Comment