title : BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA
kiungo : BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA
BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA
Na Emmanuel Madafa,
Globu ya Jamii, Mbeya
Watu watano wanadaiwa kufariki dunia usiku katika ajali iliyohusisha lori pamoja na gari dogo aina ya Noah eneo la mteremko wa mlima Igawilo nje kidogo ya jiji la Mbeya.
Globu ya Jamii, Mbeya
Watu watano wanadaiwa kufariki dunia usiku katika ajali iliyohusisha lori pamoja na gari dogo aina ya Noah eneo la mteremko wa mlima Igawilo nje kidogo ya jiji la Mbeya.
Mwandishi wa Globu ya Jamii ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameambiwa na mashuhuda wa tukio hilo kwamba huenda chanzo cha ajali hiyo ni lori ambalo liliferi breki na kuzigonga gari nyingine tatu zikiwemo za TANESCO na kampuni ya CocaCola pamoja na hiyo Noah ambayo ilikuwa na abiria watatu ambao wawili inahofiwa wamefariki papo hapo na mmoja amekimbizwa hospitali rufaa ya Mbeya kupatiwa matibabu.
Dereva wa lori na msaidizi wake wanahofiwa kwamba wamefariki dunia papo hapo na juhudi za kuondoa maiti zao zinaendelea hivi sasa.
Ajali hii imekuja masaa machache tu baada ya waziri mpya wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola kumaliza ziara yake mkoani Mbeya ambapo pamoja na mambo mengine amevunja kamati na mabaraza ya usalama barabarani nchi nzima kwa nia ya kujipanga upya katika kupambana na jang hilo sugu la Taifa.
Hivyo makala BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA
yaani makala yote BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/breaking-news-watu-watano-wafariki.html
0 Response to "BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA"
Post a Comment