title : Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato.
kiungo : Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato.
Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko Benki ya DTB Ndg. Sylvester Bahati akizungumza na kutowa maelezo ya Huduma zinazopatikana kupitia benki yao, wakati wa Semina ya Siku Moja kuzungumza na Wajasiriamali na Wafanyabiashara wa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Double Tree shangani Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya DTB Tanzania Ndg. Viju Cherian akizungumza wakati wa mkutano huo na Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar wakati wa kubadilishana mawazo na kuwajengea uwezo wa kupata fursa kuendelea Biashara zao kupitia huduma zinazotolewa na DTB. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Double Tree Shangani Zanzibar.
Hivyo makala Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato.
yaani makala yote Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/benki-ya-dtb-yatowa-elimu-ya-kwa.html
0 Response to "Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato."
Post a Comment