title : WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA
kiungo : WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA
WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA
Na Robert Hokororo
Wajumbe wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) Mkoa wa Shinyanga wamefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Wilaya ya Sengerema jijini Mwanza kujifunza namna ilivyofanikiwa katika miradi ya maendeleo.
Miradi iliyotembelewa na wajumbe hao ni pamoja na urasimishaji na upimaji wa ardhi manispaa ya Ilemela pamoja na mradi wa maji ya Ziwa Victoria katika Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema. Ziara hiyo ilihusisha wajumbe wa ALAT kutoka Halmashauri za Wilaya za Kishapu, Ushetu Msalala, Shinyanga, Mji wa Kahama na Manispaa ya Shinyanga pamoja na baadhi ya wataalamu wake.
Katika kikao kilichowakutanisha wataalamu wa Ardhi na ujumbe huo kutoka mkoani Shinyanga walipata taarifa kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na idara hiyo ambazo zimesaidia kutatua migogoro ya ardhi. Akielezea kuhusu miradi hiyo, Afisa Mipango Miji Manispaa ya Ilemela, Shukrani Kyando alisema katika mwaka uliopita walipanga kupima viwanja 16,000 na hadi sasa wamepima 33,200 huku matarajio ni kufikia 52,000.
Wajumbe wa ALAT wakipata ufahamu wa namna maji ya Ziwa Victoria yanavyovutwa na kusafishwa kasha kusambazwa kwa wananchi walipfanya zaiara wilayani Sengerema.
Wajumbe wa ALAT wakiwa katika mtambo wa kusafisha maji kabla ya kusambaza kwa wananchi walipfanya zaiara wilayani Sengerema.
Wajumbe wa ALAT waendelea kupata elimu katika mtambo wa kusafisha maji kabla ya kusambaza kwa wananchi walipfanya zaiara wilayani Sengerema.
Wajumbe wa ALAT wakipanda tangi la kuhifadhi na kusambaza maji ya Ziwa Victoria walipotela ya kusambaza kwa wananchi walipfanya zaiara wilayani Sengerema.

Hivyo makala WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA
yaani makala yote WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/wajumbe-alat-shinyanga-watembelea.html
0 Response to "WAJUMBE ALAT SHINYANGA WATEMBELEA ILEMELA,SENGEREMA KUPIGWA MSASA"
Post a Comment