Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes

Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes
kiungo : Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes

soma pia


Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes


Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imeendelea kucheza michezo ya kirafiki ambapo leo imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 baada ya kuifunga timu ya Kombain iliochaguliwa na Makocha wa Zanzibar, mchezo wa kirafiki uliopigwa saa10 jioni katika uwanja wa Amaan.

Mabao ya Heroes yote yamefungwa na Amour Suleiman (Pwina) dakika ya 35 na 80 ya mchezo.

Huu ni mchezo wa tano wa kirafiki kwa Heroes kufuatia awali kutoka sare ya bao 1-1 na Kombain ya Unguja, kisha wakatoka tena sare ya 1-1 na Taifa ya Jang'ombe, wakaifunga Villa United 5-2, jana wakaichapa Dulla Boys 2-1 na leo kushinda 2-0.

Kwasasa Heroes watacheza mchezo mmoja tu wa kirafiki kabla ya kuelekea Kenya katika Mashindano ya CECAFA ambapo mchezo wao wa mwisho wa kujipima nguvu utapigwa siku ya Jumanne saa 11:00 za jioni katika uwanja wa Amaan dhidi ya Kombain ya Wachezaji wanaocheza ligi kuu soka Tanzania Bara ambao hawakuitwa Heroes.


Hivyo makala Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes

yaani makala yote Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/amour-pwina-aibeba-zanzibar-heroes.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Amour Pwina aibeba Zanzibar Heroes"

Post a Comment