title : Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi.
kiungo : Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi.
Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi.
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Fatma Hamad Rajab, amewataka vijana kuwa na mashirikiano ya pamoja katika utekelezaji wa miradi wanayoiyanzisha, kwenye vikundi vyao vya ushirika, ili wazalishe bidhaa ambazo zitauzika katika soko la kibiashara ndani na nje ya Zanzibar.
Amesema vijana wengi hushindwa kuwa wazalendo na kujituma, katika utekelezaji wa miradi wanayoianzisha, hali inayopelekea vikundi kukosa kuzalisha bishaa zenye ubora na kiwango kinachotakiwa.
Mdhamini Fatma ametowa wito huo, katika ofisi za wizara yake Gombani baada ya kukabidhi msaada wa charahani tatu, kwa kikundi cha Umoja na mshikamano cha Micheweni, Umoja ni nguvu cha Sizini, vifaa vya vespa kwa kikundi cha Vijana Bic cha gereji Mkoani na jezi seti moja kwa timu ya Polite FC ya Mkoani.
Hivyo makala Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi.
yaani makala yote Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/vijana-kisiwani-pemba-wakabidhiwa.html
0 Response to "Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi."
Post a Comment