CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI

CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI
kiungo : CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI

soma pia


CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI



Na Frankius Cleophace Tarime.

Viongozi watatu Wanaotokan ana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Nyamwaga Wilayani Tarime Mkoani Mara wamevuliwa wanachama na kupoteza sifa ya kuwa Viongozi kwa kukiuka Maadili ya uongozi pamoja na Katiba za Chama chao.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA Kata ya Nyamwaga umewavua uanachama Viongozi hao akiwemo Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji Nyamwaga Getende Sagirai, Mjumbe wa Serikai ya Kijiji Koroso Sasi na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mchanchara Mniko Chacha

Lukas Ngoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tarime Mkoani Mara akiongea na Waandishi wa habari amesema kuwa Mkutano Mkuu wa Chama ulioshirikisha Viongozi wa Wilaya umewasimamisha Viongozi hao kwa tuhuma mbalimbali.

Ngoto amesema kuwa Mwenyekiti wa serikalia ya Kijiji cha Nyamwaga natuhumiwa kwa kutumia vibaya madaraka yake huku baadhi ya Fedha zinazotokana na Mnara pamoja na Maji hazijulikani zimeenda wapi

Pia Ngoto ameongeza kuwa Mwenyekiti huyo amekuwa akikashifu chama hicho katika Vijiwe suala ambalo ni kukiuka kanuni ya Chama hicho.

“Sasa viongozi hawa watatu wamevuliwa uanachama na watapoteza sifa ya kuwa viongozi na tayari tumewateua baadhi ya vuongozi wa Muda wakati huo tukisubiri kufanya uchaguzi wa kuziba pengo na tunaenda kuandika barua kwa ajili ya kutaarifa Maofisa watendaji wa kata ili wasiwatambue” alisema Ngoto.

Jitiada za Kumtafuta Mwenyekiti huyo ili kuongelea juu ya kuvuliwa wanahama zimegonga Mwamba baada ya Simu yake ya Mkononi kuita bila kupokelewa.
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Lukas Ngoto akiongea na Waandishi wa habari kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Viongozi hao.


Hivyo makala CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI

yaani makala yote CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/chadema-yawavua-uwanachama-viongozi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI"

Post a Comment